cueFlash

Glossary of Fall term '05 swahili final exam

Start Studying! Add Cards ↓

kichwa
head
kidevu
chin
kifua
chest
kiuno
waist
mabega
shoulder
macho
eyes
masikio
ears
magoti
knee
mbavu
ribs
meno
teeth
mgongo
back
midomo
lips
miguu
by foot
msuli
calf
muundi
shin
nywele
hair
pua
nose
shavu
cheek
shingo
neck
tumbo
stomach
ulimi
tongue
vidole
fingers
jua
sun
mawingo
cloud
mvua
rain
radi
lightening
theluji
snow
mwezi
moon
upepo
wind
ngurume
thunder
mafuriko
flood
buibui
muslim women wear
soksi
socks
blanketi
blanket
kitenge
long shirt thing
kanzu
muslim men wear?
koti
coat
suruali
pants
shati
shirt
kanga
wrap around skirt
fulana
undershirt
guani
dress
kamisi
slip
sidiria
bra
kofia
hat
viatu
shoes
viatu wazi
open toed shoes
mwamvuli
umbrella
tai
tie
mshipi
belt
huzunika
to be sad
tabasamu
to smile
fikiri
to think
cheka
laugh
kasirika
to be angry
furahi
to be happy
busu
to kiss
lia
to cry
ogopa
to be scared
mkono
arm
10
kumi
20
ishirini
30
thelathini
40
arobaini
50
hamsini
60
sitini
70
sabini
80
themanini
90
tisini
100
mia moja
mwaka huu
this year
mwaka uliopata
last year
mwaka ujao
next year
jumamosi
saturday
jumapili
sunday
jumatatu
monday
jumanne
tuesday
jumatano
wednesday
alhamisi
thursday
ijumaa
friday
-fanya mazoezi
to do exercise
-fanya kazi
to do work
-kula
to eat
-pika
to cook
-kunywa
to drink
-kimbia
to run
-soma
to study
-jifunza
to study
-oga
to bath
-tembea
to walk
je wewe ulizaliwa tarehe ngapi?
when were you born? (what is your birthday)
-pata
to get or obtain
-taka
to want
-rudi
to return
kamili
on the dot
dakika
minutes
robo
quarter past
nusu
half hour
kasorobo
quarter to
3 pm on the dot
saa tisa kamili
3:10 pm
saa tisa na dakika kumi
4:15
saa kumi na robo
5:30
saa kumi na moja na nusu
7:45
(quarter to 8)
saa mbili kasorobo
ndege
plane
gari moshi
train
lori
truck
matatu
public bus
motokaa
car
meli
boat
jahazi
steam boat
mtumbwi
canoe
ricksho
rickshaw
pikipiki
motorcycle
baisikeli
bicycle
ngamia
camel
mkokoteni
pull cart
je wewe unakuja shuleni kwa njia gani?
how did you get to school
kucheza densi
to dance
kuendesha baisikeli
to ride a bike
kuongelea
to swim
koti zito
heavy coat
shati la mikoni mifupi
shirt with short sleeves
mavazi mpezi
light cloths
suruali ndefu
long pants
msimu wa mvua

(masika)
rainy season
march to may

wanapanda na wanapalilia
msimu wa baridi

(kipupwe)
cold season
june to september

wanavuna
msimu wa mvua fupi

(vuli)
short rain season
september to january

wanapanda mimea ya muda mfupi
msimu wa joto

(kiangazi)
hot season
december to february

wanatayarisha mashamba
wanapanda na wanapalilia
planting and weeding

(msimu wa mvua/masika)
march to may
wanavuna
harvesting

(msimu wa baridi/kipupwe)
june to september
wanapanda mimea ya muda mfupi
planting short lived crops

(msimu wa mvua fupi/vuli)
september to january
wanatayarisha mashamba
preparing farms

(msimu wa joto/kiangazi)
december to february
chukua barabara ya ______
take the street of ____
pinda kulia
turn right
pinda kushoto
turn left
kwenda moja kwa moja
continue straight
vista daraja
cross
jengo la ____(kwanza) kulia/kushito
____(first) house on the left/right
piga mswaki
to brush your teeth
vaa
to dress
amka
to wake up
wali
rice
ndizi
banana
kahawa
coffee
mahindi
corn
maji ya machungwa
orange juice
maharagwe
beans
mbuzi
goat
bata mzingi
turkey
nguruwe
pig
kondoo
goat
kuku
chicken
kufua
to do laundry
mboga
vegetables
mkate
bread
matunda
fruits
milk
maziwa
isimu
linguistics
kurusha
to throw
kushirika
to catch
kuvuta pumzi
to breathe
kugurusa
to touch

Add Cards

You must Login or Register to add cards